Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Na man U naoArsenal mko wapi?
Na man U naoArsenal mko wapi?
Pole mkuu hao Wolves ndio kawaida yao waulize ata Man U watakuambia3-0 Mkuu HT dah! Kupenda kubaya sana Mkuu.
Ilikua ni ManLiver United vs Man CityFull time MANU 0 MANC 2
Pole mkuu hao Wolves ndio kawaida yao waulize ata Man U watakuambia
Tatizo lao wanajituma kwenye timu kubwa ila wakikutana na wenzao wanaonewa tuWabaya sana hawa Mkuu. Wanajituma sana.
Tatizo lao wanajituma kwenye timu kubwa ila wakikutana na wenzao wanaonewa tu