Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hawajui hawa. Let me break this down.

Ukitaka kuishi vizuri na Esta zingatia haya mambo mawili:

(1). Kamwe usimseme vibaya Zari

(2). Achana kabisa na ishu za kumponda CR7

Mengine yote ni madogo...

Anonimazi forevaaa na ukijilengesha unakula makonzi tu hakuna cha ubro wala ubesti [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniiiii
 
Selous
FB_IMG_1550442658565.jpeg
 
Girls be like " I hate random guys to PM us" but when they spend 30 minutes without receiving a message!

They start to refresh thinking it's a network error, they even get a "malicioustopolorolisujgdalus" multi- purpose disorder in their heads
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Esta bana...[emoji16][emoji16][emoji16]

Eti dhambi si dhambi...

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Ni muhimu sana kuisikiliza hiyo sauti inayokuhumu. Inamaanisha kuwa jambo unalolifanya siyo jema na inabidi kuachana nalo. Wanasema hiyo conviction ndiyo roho yako. Nafsi yako. Roho Mtakatifu. Hulka. Nafsi. Ndiyo wewe mwenyewe hasa. Kuna watu hawana hiyo sauti/conviction. Hawa hawana shida ya kuua, kubaka, kuiba na kutenda maovu ya kila aina...
Duh aiseee kumbe bro.

Basi hii sauti ipo kila mahala. Siwezi kuchukua kitu cha mtu bila mwenyewe kujua nikichukua napata maswali je nikitendewa hivyo nitafurah ama
 
[emoji109][emoji109][emoji109]. Nakuaminia rolo modo wangu. Na iginoa listi ni ushahidi tosha kuwa you have guts and you stood for something...

Siyo kama haya manaharakati feki yasiyojitambua eti yanapigania uhuru wa kusema wakati menyewe ukilikwesheni tu kidogo linaporomosha mapovu na kukimbilia iginoa listi. Practice what you preach dammit. Shwaiiini [emoji36][emoji36][emoji36][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji123][emoji123][emoji123]
"Na iginoa listi ni ushahidi tosha kuwa you have guts and you stood for something"...
 
Duh aiseee kumbe bro.

Basi hii sauti ipo kila mahala. Siwezi kuchukua kitu cha mtu bila mwenyewe kujua nikichukua napata maswali je nikitendewa hivyo nitafurah ama
Golden Rule. Hii ndiyo kanuni kuu na kama tungeifuata hata kwa nusu tu dunia hii ingekuwa paradiso. Shida yetu kuu ni ubinafsi...

Sasa imagine kuna watu wamekuwa sugu mpaka hiyo sauti hawaisikii tena. Ukikutana na mtu wa hivyo we andika maumivu tu ...
Screenshot_20190425-085213~2.jpeg
 
Back
Top Bottom