Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ukiona hivyo kwanza huyo mtu hajiamini. Ana inferiority complex. Hata kama awe na cheo kikubwa kiasi gani psychologically s/he is vulnerable na ukiwa "mkorofi" kama mimi basi unaweza kucheza naye vizuri sana japo pia unaweza kuishia kuambulia kipigo cha kufa mtu na kujikuta Segerea [emoji16][emoji16][emoji16]"Unajua mimi ni nani?" neno hili limekuwa likinichukiza sana jinsi linavyotumika.Haijalishi wewe ni nani mwisho wa siku sote ni binadamu!