Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haipo kabisa sijui kwann.
Ila ipo inayonitaka kupumzika JF aaah naitupilia mbali
Kupumzika JF ni mtihani wallahi. Sasa hivi mi niko safarini lakini badala nipumzike nooo. Likes na michapo vitanipita. Uraibu huu wallahi...Ila tu nikifika niendako itabidi nipumzike mitandao japo kwa mwezi mzima. That gonna be tough [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Heee mwezi mzima aiseee tutapwaya humu..carb rudiiiii
 
Guys is it fare to infect people with HIV knowingly?
anonymous poll

No – 13
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106] 81%

Yes – 2
[emoji106] 13%

Their own problem they looked for it – 1
[emoji106] 6%

[emoji186] 16 people voted so far.
 
Umewahi kusikia vimbunga vikiwa na majina ya kushangaza, kilichoitwa Idai kilichosababisha uharibifu mkubwa katika baadhi ya maeneo nchini Msumbiji, Malawi na Zimbabwe mwezi uliopita Machi katika kile ambacho Umoja wa mataifa unasema huenda ni janga baya zaidi la hali ya hewa kuwahi kushuhudiwa kusini mwa Afrika.
 
Vimbunga vinavyopewa majina
Vimbunga katika maeneo ya bahari ya Atlantiki, maeneo ya Caribbean na Ghuba ya Mexico hupewa majina ya Shirika la Utabiri wa Hali ya Hewa Duniani (WMO) ambalo lina makao yake makuu nchini Uswizi.
 
Zamani, ni majina ya kike pekee yaliyotumiwa lakini kuanzia 1979, majina ya kiume yalianza kutumiwa.
Huwa kuna makundi sita ya majina ambayo hutumiwa kwa mzunguko.
Hii ina maana kwamba majina yaliyotumiwa kwenye vimbunga mwaka hu hayatatumiwa tena hadi 2022.
 
Back
Top Bottom