Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nawahurumia hao wanaodondosha data za kuprove/kuonyesha kwamba kimsingi Messi ni bora kuliko CR7. Wewe ni mhurumishaji na siyo mhurumiwa [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro bana. Ila hawa huwa hawajiamini

Nnachompendea CR7 nguvu alizotumia kufika pale kafika mwenyewe bila msaada wa matibabu etc wanasema hana kipaji mara nini ila jamaa ni fighter anapigania anachokiamini yeye.

Same to zari kuna watu wanamuita expensive bitch ila wanatamani maisha yake wamedanga weee wameambulia mawingi,viatu kuchoropoa mimba. Mwenzao katumia akili kubwa kupata alivyonavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…