Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mara nyingi – hata bila ya kutambua – tunaacha yaliopita kimya , kindani ndani katika raha na kutafuta furaha. kwa mfano. tunapojisikia vizuri kupongezwa au kusifiwa kwa jambo fulani tunasikia raha. tunajaribu kupunguza hisia zetu, kwa kile ambacho tumekisikia.