Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
154870e2404f11f2963404dce4c20a72.jpeg
 
Kitu Gani Kinalinda Raha.

Meditation

Kila wakati unaposikia Raha, Furaha, Amani, au kuwa na siku nzuri katika maisha yako kila siku, usifahamu tu na kuendelea na mambo yako. Jaribu kuchukua muda wa sekunde 30 zaidi au jaribu kutunza hisia hizo nzuri kwa kutafakari. acha ziingie ndani mwako.fahamu ladha yake. Unapoona inaiva , songa mbele. unaweza ukawa unafanya hivyo kila mara
 
Life isn’t always going to make sense.

You come across obstacles, hardships, betrayal, illness.

Don’t let bitterness and anger rule your thoughts.

Become mentally tough enough to let those things come in and quickly adjust.

No matter what, you have to move forward.
 
Another effort by these hooligans and corrupt people to destroy CAG Assad. Naihurumia nchi yetu kuwa na wahuni kama hawa kwenye powerful positions.

Waziri wa Mambo ya Ndani, Bwana Kangi Lugola amesema taarifa ya CAG kuhusu jeshi la polisi kutumia Bilioni 16 kununua 'sare hewa' si ya kweli. Amesema sare hizo zimenunuliwa na kwamba CAG hakuziona kwa sababu zipo kwenye makontena.

"Hakuna mtu muongo kama CAG. Anasema Jeshi la Polisi limetumia Bilioni 16 bila kununua sare? Uongo mtupu. Sare zimenumuliwa na zipo kwenye makontena mheshimiwa Spika. CAG kutokuziona haimaanishi hazipo. Nipo tayari kuweka uwaziri wangu rehani, kama itabainika hazipo"

Baba yake BAK ANAITWA MUONGO:
ngoja mwenyewe arudi mtwara alipokwenda kuzuia kimbunga
wakati CAG anafanya uchunguzi walimpa taarifa hizi isijekuwa mzigo umeingia jana bandarini

‘ISA 500 Audit Evidence’ requires auditors to obtain sufficient, appropriate audit evidence to be able to draw reasonable conclusions on which to base the audit opinion.
 
I mean America, sorry.
No need to apolojaizi bro...

The Japanese Imperial Empire was dealt a mortal wound by those two crude atomic bombs. With their godly emperor Hirohito embarrassed and humiliated, the Japanese decided to end their once military might in the Pacific. Mpaka leo bado wanasuasua na japo tekinolojia wanayo lakini walishaapa kuwa hawatakaa watengeneze bomu la Nyuklia. Na kuna taa inawaka kule Hiroshima tangu mwaka 1945. Taa hiyo itazimwa tu siku ile ambayo dunia itakuwa haina silaha za Nyuklia tena.
 
No need to apolojaizi bro...

The Japanese Imperial Empire was officially silenced by those two crude atomic bombs. With their godly emperor Hirohito embarrassed and humiliated, the Japanese decided to end their once military might. Mpaka leo bado wanasuasua na japo tekinolojia wanayo lakini walishaapa kuwa hawatakaa watengeneze bomu la Nyuklia. Na kuna taa inawaka kule Hiroshima tangu mwaka 1945. Taa hiyo itazimwa tu siku ile ambayo dunia itakuwa haina silaha za Nyuklia tena.
Vizuri sana kwa ufafanuzi Bro,

Japani haitakuwa kama ilivyokuwa tena! China alikuwa myonge(sina hakika kama alikuwa colonized) sana kwa mjapani Enzi hizo!
 
Back
Top Bottom