Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukiona hivyo kwanza huyo mtu hajiamini. Ana inferiority complex. Hata kama awe na cheo kikubwa kiasi gani psychologically s/he is vulnerable na ukiwa "mkorofi" kama mimi basi unaweza kucheza naye vizuri sana japo pia unaweza kuishia kuambulia kipigo cha kufa mtu na kujikuta Segerea [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahahaha, kipigo[emoji16][emoji16][emoji16]
 
58410532_545458909192414_7413275997907240170_n.jpg
 
Papy Faty mchezaji wa kiungo raia wa Burundi aaga Dunia nchini Swaziland akichezea timu yake ya Malatini Fc.
Papy Faty ambaye pia huchezea timu ya taifa ya nchi hiyo INTAMBA MURUGAMBA amefariki jioni hii nchini humo.View attachment 1081168

Dunia hii. Mtu yuko fiti mazoezi 24/7 anakufa mijitu inayoburuza vitambi mpaka magotini ipo tu inadunda. RIP...
 
Back
Top Bottom