Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tuangalie Uwiano ulipo kati ya Namba na Maneno.

0= Upendo. Ukikosekana upendo ndani ya mtu, hataweza kufanikiwa katika kumpenda mwingine. hataweza kumpenda Mungu . Hata kama atafanya mambo makubwa kiasi gani , hatadumu na hayo mambo.Atateseka kila siku. upendo unabeba kila kitu.
 
Aaaah na wewe si utaziweza mbeleni kama bro tu
Ukiona hivyo likely ni too skinny maandaeitini wanaogopa kuuliwa when the going gets tough.

Halafu nitapenda kuona solusheni yao wakioa vimbaumbau halafu huko mbele ya safari baada ya kupata watoto na misukosuko ya maisha vimbau vinenepeane na kufumuka misambwanda na nyama kila kona. Sijui ndo watatembeza talaka au sijui itakuwaje [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom