Aaaah na wewe si utaziweza mbeleni kama bro tuHapana,namsapoti bro hapo,,nyama nyama hizo siziwezi brother
Aisee...Hamna cheki hapa namaanisha nyusi kazipaka uwanjaView attachment 1081742
Sana hapo ka kwangua nyusi zote kachonga zake kwa wanjaAisee...
Ila yuko creative...[emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaha Esta wewe,ukorofi huo,,,nimeshindwa ning'ali kijana mbeleni ntaanzia wapi sasaAaaah na wewe si utaziweza mbeleni kama bro tu
Bado kijana kabisa. Kama anko alipo bado anaita sembuse wewe tulia bana iga kwa bro na anko wana makonfidensi balaaHahaha Esta wewe,ukorofi huo,,,nimeshindwa ning'ali kijana mbeleni ntaanzia wapi sasa
Ukiona hivyo likely ni too skinny maandaeitini wanaogopa kuuliwa when the going gets tough.Aaaah na wewe si utaziweza mbeleni kama bro tu
Kwema bro,,,habari za huko??
Hahahaha naupenda huu wimbo,hakuna kingine,,swali lako nimenikumbusha lile la runaway love
Hahaha yale makofidensi ya ankoo ni hatari aiseeBado kijana kabisa. Kama anko alipo bado anaita sembuse wewe tulia bana iga kwa bro na anko wana makonfidensi balaa
Too myopic. Mnafikiri hao wake zenu watazeeka na huo wembamba wao wa ujana? You are in for a big surprise wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]Hahaha Esta wewe,ukorofi huo,,,nimeshindwa ning'ali kijana mbeleni ntaanzia wapi sasa
Hamna cheki hapa namaanisha nyusi kazipaka uwanjaView attachment 1081742
Bro siku hizi fashen kushinda gym. Ila bora anenepe ndan ya ndoa mshapata kapicha safi ka kumbukumbu siku ya harusi.Too myopic. Mnafikiri hao wake zenu watazeeka na huo wembamba wao wa ujana? You are in for a big surprise wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Nimemmiss MessiBinti Mpole
Hapana,namsapoti bro hapo,,nyama nyama hizo siziwezi brother