Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahah eti too skinny. Hawa wembamba wapo kasi balaa majimama yanawapenda acha tu

Ila kuendesha lori nacho kipaji adimu sana
 
Kitu gani kinakutesa wewe? Huna Upendo. Ni ujinga wa kuanza kutafuta Pesa kabla ya kutafuta upendo, Kutumia muda vizuri, kutafuta maarifa, hekima, Huna Imani na Mungu. Huipendi nafsi yako, humpendi jirani yako, Huna ushirika mzuri na Mungu.
 
Wembamba wengine afya mgogoro...akikutana na lori kabisa lile lenyewe na lina shehena ya kutosha mbona front page kwa Shigongo inamhusu?
Aaah bro acha kutisha sana mtu kama yego atabaki mgumu milele. Ninge pita kama hujaisoma post ya bro,wewe paramia tu tusije kosa ubuyu kwa shingongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…