Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hispania ndiko walikoanza chokochoko kwamba Mo Salah anataka kuondoka zake licha ya kuwa na msimu bora kabisa huko Liverpool mwaka jana huku msimu huu akiendelea kutamba katika kuisogeza timu kwenye nafasi nzuri ya kunyakua ubingwa wa Ligi Kuu England.
 
Hakuna kafeeling kalikua katamu ukiwa mdogo kama ile time umenyeshewa then ujikojolee Ako kajoto wewe huwez kafananisha [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23]
public poll

True – 101
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106] 74%

Fangi – 35
[emoji106][emoji106] 26%

[emoji186] 136 people voted so far.
 
Jambo hilo linaonekana kuwatibua mashabiki wa Liverpool na kuamua kutumia kurasa zao za Twitter kuelekezea hasira zao huku mmoja akiandika: “Acheni kuendeleza huo ujinga wenu”, huku mwingine akiandika: “Salah ataendelea kubaki kuwa mchezaji wa Liverpool mpende msipende.” Mashabiki wengine wanaamini kwamba Real Madrid na Barcelona zimekuwa zikitumia vyombo vya habari kuwavuruga wachezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…