Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ana nyodo sana. He is a cancer to the locker room...Nyodo alizomfanyia Mourinho naona ndo anataka kuzianza pia kwa Ole. Utafikiri siyo yeye aliyekuwa all smiles juzi juzi hapa wanashinda.
Ana kiburi kile cha kiafrika kabisaaa. Kile cha pata hela tujue tabia yako. Kisa kanyanyua world cup basi anajiona kafika hakuna wa kumpangia chochote
 
2. Hossam Hassan -mataji 41

Kinara wa muda wote wa mabao wa Misri, Hossam Hassan aliweka rekodi hiyo baada ya kufunga mara 69 katika mechi 169 alizochezea timu yake ya taifa huku akiwa na rekodi tamu kabisa kwenye maisha yake ya soka kwa kubeba mataji 41.
 
IMG_20190426_135604_508.jpeg
 
Staa huyo maisha yake ya soka alicheza kwenye klabu za Al Ahly na Al Ain na nyinginezo huku akiwa mchezaji namba mbili aliyebeba mataji mengi kwenye historia ya mchezaji wa sasa na sasa yupo huko kwenye Ligi Kuu Misri, anakotokea staa wa Liverpool, Mohamed Salah.
 
1. Dani Alves - mataji 42

Mwanasoka aliyebeba mataji mengi zaidi kwenye mchezo wa soka kwa sasa ni Dani Alves, ambaye kwa sasa amebeba mataji 42 katika historia yake katika mchezo huo. Mbrazili huyo amepita kwenye vikosi vya Sevilla, Barcelona, Juventus na sasa Paris Saint-Germain, ambako amekuwa na rekodi ya kujinyakulia tu mataji kama anavyotaka
 
Back
Top Bottom