Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
No MBs for JFTanzania tuko Milioni 55, vitambulisho vya Taifa vilivyotolewa ni Milioni 13 au 14, unaposema watu wasajili kwa kutumia Vitambulisho vya Taifa wakati NIDA haijatoa Vitambulisho vya Taifa maana yake unataka Watanzania wasitumie simu" Rais Magufuli