Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji16]these girls will kill me,
Sasa kengine kanaenda kwa daktari kutibiwa malaria halafu kanapimwa temp..
Doctor: You're so hot!
Girl: Aaww, thanks [emoji7]
Doctor: Nakwambia temperature yako iko juu kama ya mbuzi na wewe unafikiria ujinga hapa [emoji34]
Girl: [emoji17][emoji37][emoji19]
 
🤣🤣🤣
 
Jambo hilo linaonekana kuwatibua mashabiki wa Liverpool na kuamua kutumia kurasa zao za Twitter kuelekezea hasira zao huku mmoja akiandika: “Acheni kuendeleza huo ujinga wenu”, huku mwingine akiandika: “Salah ataendelea kubaki kuwa mchezaji wa Liverpool mpende msipende.” Mashabiki wengine wanaamini kwamba Real Madrid na Barcelona zimekuwa zikitumia vyombo vya habari kuwavuruga wachezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…