[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee,,akiiona hii bro na ankoo,itakuwa hatari sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Umeniweza leo[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na ndio majibu yao yatakuwa hayo,,tena kama bro[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utasikia shuain haka ka andaeitin kamefikia hatua hiyo lini in anko's voice
Haka nako kwa kujipachika hakajambo tulia ule ujana uhenga utaupata tu bagesh in bro's voice
Asante na wewe pia.View attachment 1082187
Mkawe na siku njema
Hapo sasa!Morning!!
Sanaaa..Wanapendeza kwelikweliHii couple inaupendezesha uzi wetu
🤣🤣🤣Supu wapi,njoo ule kiporo cha wali
🤣🤣🤣🤣Kabisa,hajala za uso kama kijana mpole[emoji125][emoji125]
Na mimi ntapata mwaliko kweli?Wazo zuri! Sikuwa nimefikiria.
Ingawa wewe huitaji Card kabisa. Wewe mgeni muhimu sana.
Nzuri MoudyHabari zenu wana likes
Pernat ndio niniTeh teh teh[emoji16][emoji16]View attachment 1082353
Mmmh..
Pendeza sanaKiafrika zaidiView attachment 1082368
😏😏😏😏Ya kweli haya?View attachment 1082608
Wanapendeza Power Couple
🤣Liali Madilidi