Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee,,akiiona hii bro na ankoo,itakuwa hatari sana[emoji23][emoji23][emoji23]

Umeniweza leo[emoji23][emoji23][emoji23]
Maandaeitini bana. Tatizo lenu kuu ni kuwa mnafikiri mnajua kila kitu but in reality you don't know shit! Eti baba wawili. Umewaokota barabarani ama? Hebu msitufanye watu tukakufuru hapa bure. Shwaiiiniii !!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Maexipiriensi yanahitajika pale kwa kweli..
Hakuna kitu rahisi kama kuendesha semi trela. Shida ni hivi vikorolla vyenu. Ukizubaa tu kidogo hichoo kimeshabinuka huko matairi juu aksidenti tayari. Once you get used to driving semis, you will NEVER enjoy driving compact cars again [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Maandaeitini bana. Tatizo lenu kuu ni kuwa mnafikiri mnajua kila kitu but in reality you don't know shit! Eti baba wawili. Umewaokota barabarani ama? Hebu msitufanye watu tukakufuru hapa bure. Shwaiiiniii !!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
[emoji2][emoji2][emoji2] Numbisa unaona sasa??umemfanya bro atake kukufuru bure,nilikuambia mapema hii [emoji2][emoji2][emoji2],,,essay ya mzee wa mwakaleli bado
 
Na wale wenye uelewa wa makosa haya tunayoyafanya kwenye maamuzi, wamekuwa wanayatumia kwa kujinufaisha wao wenyewe. Mfano wafanyabiashara wamekuwa wakikusukuma wewe ununue wanachouza kwa kuibua hisia mbalimbali ndani yako, hata kama huhitaji sana kile wanachouza
 
Je umewahi kumwona mtu kwa nje ukamwamini na kuona ni mtu wa heshima lakini akakutapeli au kukudhulumu na hukuamini angeweza kufanya hivyo? Kama umewahi kukutana na hali hizo, au zinazofanana na hizo, basi jua umekuwa unafanya makosa ya kisaikolojia ambayo yanakupelekea kufanya maamuzi mabovu na yanayokugharimu.
 
Mwandishi Peter Bevelin kwenye kitabu chake cha SEEKING WISDOM; From Darwin to Munger ametushirikisha makosa 28 ya kisaikolojia tunayoyafanya na kutupelekea kufanya maamuzi mabovu na yanayotugharimu sana. Makosa haya 28 amejifunza kutoka kwa wanafalsafa, wanasaikolojia, wanasayansi na hata wawekezaji wenye mafanikio makubwa.
 
Uhusiano usio sahihi.
Huwa tuna tabia ya kuweka uhusiano usio sahihi kwa vitu viwili vinavyotokea kwa pamoja. Kama kuna kitu ambacho tunajisikia vizuri kufanya tunakifanya hicho, na kama kuna kitu tunajisikia vibaya tunakwepa kukifanya.
 
Wanasiasa na na wafanyabiashara wanaelewa hili na kulitumia vizuri, wanapotaka ukubaliane na kile wanachotaka ufanye, wanakihusisha na mambo mazuri yanayoibua hisia zako za kutaka kufanya kitu hicho, hata kama hakina manufaa kwako
 
Mfano eneo la biashara linakuwa na mwonekano mzuri na sana, halafu bei ya vitu inakuwa juu, unapoangalia bei hiyo na mazingira uliyopo, unaona unastahili kuilipa, hata kama ungeweza kupata kwa bei ya chini sehemu nyingine.
 
Back
Top Bottom