Maexipiriensi yanahitajika pale kwa kweli..Experience, experience, experience! [emoji123][emoji123][emoji123]
Maandaeitini bana. Tatizo lenu kuu ni kuwa mnafikiri mnajua kila kitu but in reality you don't know shit! Eti baba wawili. Umewaokota barabarani ama? Hebu msitufanye watu tukakufuru hapa bure. Shwaiiiniii !!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee,,akiiona hii bro na ankoo,itakuwa hatari sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Umeniweza leo[emoji23][emoji23][emoji23]
Siamini katika theory...Weka theory kwanza
Hakuna kitu rahisi kama kuendesha semi trela. Shida ni hivi vikorolla vyenu. Ukizubaa tu kidogo hichoo kimeshabinuka huko matairi juu aksidenti tayari. Once you get used to driving semis, you will NEVER enjoy driving compact cars again [emoji16][emoji16][emoji16]Maexipiriensi yanahitajika pale kwa kweli..
[emoji2][emoji2][emoji2] Numbisa unaona sasa??umemfanya bro atake kukufuru bure,nilikuambia mapema hii [emoji2][emoji2][emoji2],,,essay ya mzee wa mwakaleli badoMaandaeitini bana. Tatizo lenu kuu ni kuwa mnafikiri mnajua kila kitu but in reality you don't know shit! Eti baba wawili. Umewaokota barabarani ama? Hebu msitufanye watu tukakufuru hapa bure. Shwaiiiniii !!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
🤣🤣🤣 Nakujaaaa..Siamini katika theory...
Jasti kamu [emoji16][emoji16][emoji16]
🤣🤣🤣 Eti kinabinuka hukoHakuna kitu rahisi kama kuendesha semi trela. Shida ni hivi vikorolla vyenu. Ukizubaa tu kidogo hichoo kimeshabinuka huko matairi juu aksidenti tayari. Once you get used to driving semis, you will NEVER enjoy driving compact cars again [emoji16][emoji16][emoji16]
🤔✔✔✔Changamoto kubwa ni kwamba maamuzi yoyote ambayo tunayafanya kwa kusukumwa na hisia, huwa siyo maamuzi mazuri kwetu. Ni maamuzi mabovu ambayo yanatugharimu sana baadaye.