Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Fikra ndiyo mwendesha farasi, zina udhibiti mkubwa, lakini bila ushirikiano wa hisia haziwezi kufanya chochote. Hivyo lengo siyo kuondokana na hisia kabisa, bali lengo ni kufanya maamuzi kwa fikra, halafu ukiwa umeshafikia maamuzi yako, unaziachia hisia katika utekelezaji.
 
hizi ndizo hatua tatu ambazo Robert Green ametushirikisha, za kutuwezesha kutawala hisia zetu na kufikiri kwa usahihi ili kuepuka kufanya makosa kwenye maamuzi yetu. Tumia njia hizi ili uwe mtu wa kufikiri badala ya kuwa mtu wa hisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…