Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Halafu anataka eti nimpokee tena kwenye Chama, no wei! You’re ineligible, Bro! Sorry. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila chama gani utaongoza mwenyewe kama lipumba,mtupiemo moud humo au mzee wa liver(ila huyu kwa kuonja ni shida mtakua mnasuluhisha migogoro kila siku)
 
Ifuatayo ni mikakati itakayokuwezesha kuwa mtu wa kufanya maamuzi kwa fikra na siyo hisia;

Jijue wewe mwenyewe kiundani. Hii ni kauli ambayo inatumika sana lakini wengi wamekuwa hawaielewi. Hatua ya kwanza ya kuelekea kuwa mtu wa kufikiri, ni kujijua wewe mwenyewe kiundani.
 
Kujua maeneo yapi una uimara na nguvu na maeneo yapi una udhaifu. Watu wengi wamekuwa wanaendesha maisha yao kama wageni kwenye miili yao. Wewe usiwe hivyo, jijue wewe mwenyewe kwa undani na utaweza kuepuka matatizo mengi ambayo umekuwa unayatengeneza kwa kutokujijua.
 
Chunguza msingi wa hisia zako. Hakuna mtu ambaye anaweza kuondokana na hisia kabisa. Hata wale wanaofanya maamuzi kwa fikra siyo kwamba wamezika kabisa hisia zao, ila wameweza kuzidhibiti. Hatua ya kwanza ya wewe kudhibiti hisia zako ni kuzielewa vizuri, kwa kuzichunguza mpaka kwenye mizizi yake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila chama gani utaongoza mwenyewe kama lipumba,mtupiemo moud humo au mzee wa liver(ila huyu kwa kuonja ni shida mtakua mnasuluhisha migogoro kila siku)

Ngoja basi itabidi nipitie mafaili ya moud. Ila yule home boy, mzee wa Liver sidhani kama anaweza kupita kwenye mchakato! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom