[emoji16][emoji16][emoji16]Hivi wewe bado ni mwanachama? [emoji23][emoji23][emoji23]... Nadhani kile chama nimebaki mwenyewe tu, mimi ndie Mwenyekiti na Mjumbe mumo Kwa mumo aisee!
Hahahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ameshindwa
Hahahahaha[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] hawezi huyoUnaweza kutoa angalau kaufafanuzi ka juu juu?
Kukitokea mafuriko unaweza jikuta upo juu ya gogo linalosombwa na maji, baada ya mwendo furani ndani ya maji ukajikuta kwenye kijisiwa, mti, nchi kavu au mahali kama hapo.Ahaa, nilidhani amepanda kuangalia bcoz upande wa pili(nyuma yake) niliona kama daraja halijavunjika...
Kama siyo Wasukuma sina tatizo. Miili haijengwi kwa mawe ati [emoji16][emoji16][emoji16]Vibonge wanakimbizana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1082958
Unafikiri Wasukuma wote ni washamba? Tutakuwa sahihi tukisema kuwa washamba wapo ktk makabila yote bro?Hizi story za ubahili sio za kweli, wabahili wapo ktk makabila yote bro
Jamani. Ni lazima wapite hii barabara? Jizazi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Karibu sana.Nikiwa Tanzania ishaalah nitafika ngorongoro
Nilikua nakuchokoza bro, hahaahahUnafikiri Wasukuma wote ni washamba? Tutakuwa sahihi tukisema kuwa washamba wapo ktk makabila yote bro?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji109][emoji109][emoji109]Nilikua nakuchokoza bro, hahaahah
Nipeni kadi kwenye chama hicho, lakini iwe kimya kimya sipendagi kujaribiwa[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe na mimi ni nani aliyekuwa compromised? Mimi ukatibu mkuu sijaacha. Unayetia shaka ni wewe. Baada ya Kazaramo kupotea kidogo hali ikuwa shwari ila ziara ya Fragaria imetutia mashaka sana. Ndo maana imebidi niitishe kikao cha dharura cha bodi tuone tutakachofanya ila jiandae kufukuzwa uenyekiti.
Manara aliongelea UEFA champions league, kwamba ikitokea Liverpool akaifunga Barcelona kwenye Semi final atahamia YangaManara na ule mkwara wake wa kuhamia Yanga imekuwaje? Sikumbuki vizuri details ila nadhani ulihusu Barcelona...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].Nipeni kadi kwenye chama hicho, lakini iwe kimya kimya sipendagi kujaribiwa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]Ni mguu bana 😀