Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna faili moja la siri limenifikia hapa katika ofisi zetu za CHACHAWA linatilia shaka sana ugumu wako. Itabidi niitishe mkutano wa dharura kwa bodi nzima ili tukuondoe kwenye uenyekiti wa hiki chama chetu kitukufu [emoji16][emoji16][emoji16]

Hivi wewe bado ni mwanachama? [emoji23][emoji23][emoji23]... Nadhani kile chama nimebaki mwenyewe tu, mimi ndie Mwenyekiti na Mjumbe mumo Kwa mumo aisee!
 
Republicans masikini huwa wanamsingizia huyu mama eti ni transgender. Ukienda huko Breitbart.com utakuta wamempachika jina la Big Mike na mahillbillies kabisa yanaapa kuwa eti yana uhakika. Duniani hapa hata uweje lazima tu utakuwa na haters...But she is stronger than ever na mwaka jana akawa woman of the year [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Ukatibu Mkuu nani alinitoa? Mbona bado naendesha chama kama kawaida tu? Nimegundua the hard way kuwa kuna faida nyingi za kuwa mgumu kuliko hasara. I am in foreva [emoji16][emoji16][emoji16][emoji109][emoji109][emoji109]
 
Ukishakuwa mpenzi wa yule jamaa wa jumba jeupe, akili yako lazima iwe imekuwa tenge kidogo! [emoji23][emoji23]
 
Naendaga Breitbart mara moja moja. Huwa nasikitika sana kwa sababu hao hao ndiyo eti wanajiita Evangelical Christians. Walokole wa Marekani. Na mafungu ya Biblia wanakwoti. Lakini chuki waliyonayo dhidi ya wahamiaji, weusi na democrats aisee ni ya kutisha. Na jamaa wa jumba jeupe ndiyo shujaa wao na wanaamini kabisa kuwa ameteuliwa na Mungu ili kutimiza unabii uliobakia ili kuharakisha kurudi kwa Yesu. Halafu wanashangaa kwa nini pamoja na utitiri wa makanisa Marekani Ukristo wa kweli unadidimia na watu wanaitafuta kweli kwingine.
 
Domo [emoji16][emoji16][emoji16]
4ccc06a0c99fde7c8b1a5c7e8a6f7601.jpeg
 
Ukatibu Mkuu nani alinitoa? Mbona bado naendesha chama kama kawaida tu? Nimegundua the hard way kuwa kuna faida nyingi za kuwa mgumu kuliko hasara. I am in foreva [emoji16][emoji16][emoji16][emoji109][emoji109][emoji109]

Kabla sijakupokea tena kwenye Chama lazima niwaombe wazee wa FED wapitie mafaili yako kwanza. Inawezekana ushakuwa compromised! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom