Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23]... Eti ziara ya Fragaria! Mashaka gani tena poti? Nitautetea na kuupigania Uenyekiti wangu mpaka kieleweke. Mwenyekiti haondolewi kimchezo mchezo, Stock Market itayumba!
CEO wa Boeing akiondolewa si ajabu stocks za Boeing zitapanda. Mark Zuckerberg wanakazana kumwondoa na siku akiondoka si ajabu stocks za FB zitapanda. Na wewe usije kushangaa siku tunakuondoa stocks za CHACHAWA zikaweka +rekodi. Kama una mapenzi na CHACHAWA unaweza kujiengua uenyekiti mapema bila kuleta madhara makubwa.