Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wewe na mimi ni nani aliyekuwa compromised? Mimi ukatibu mkuu sijaacha. Unayetia shaka ni wewe. Baada ya Kazaramo kupotea kidogo hali ilikuwa shwari ila ziara ya Fragaria imetutia mashaka sana. Ndo maana imebidi niitishe kikao cha dharura cha bodi tuone tutakachofanya ila jiandae kufukuzwa uenyekiti.Kabla sijakupokea tena kwenye Chama lazima niwaombe wazee wa FED wapitie mafaili yako kwanza. Inawezekana ushakuwa compromised! [emoji23][emoji23][emoji23]