Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Ni viazi hivyo mkuu. Mtafute SYB, anavijua vizuri sana huyu!
Ni viazi vinachimbwa. Vinaanikwa juani mpaka ule utomvu utomvu uishe. Ukishaisha vinamenywa halafu vinakatwa katwa slices na kuanikwa tena juani. Vikishakauka vinahifadhiwa na wakati wa kiangazi vinachemshwa na vikilainika vinasongwa mithili ya ugali. Wanyamwezi wao huvipika kwanza vikishamaliza utomvu na kisha kuvikata kata slices na kisha kuvianika juani. Hivi huitwa Matoborwa na ndiyo asili ya jina Tabora.

Michembe na Matoborwa unaweza kuvila asubuhi na chai au mchana pamoja na maziwa ya mgando. Ni mojawapo ya vyakula safi kabisa na ni dozi tosha dhidi ya ukimbaumbau hasa vikiliwa pamoja na maziwa mgando. Mwezi hautaisha utaona Kakimbaumbau (hata kawe kamekongoroka namna gani) kameanza kuota shavu laiini na hata kuchomoza kimsambwanda cha kishikaji shikaji dizaini fulani hivi wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
The Roman Catholic Archdiocese of New York named 120 priests who have been accused of sexually abusing a child, one of the largest disclosures to be made by the church
Ukiwaona na majoho yao yanayomeremeta, mikofia mirefu na mifimbo yenye nakshi utafikiri kweli watakatifu. Shwaiiinii [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Ni viazi vinachimbwa. Vinaanikwa juani mpaka ule utomvu utomvu uishe. Ukishaisha vinamenywa halafu vinakatwa katwa slices na kuanikwa tena juani. Vikishakauka vinahifadhiwa na wakati wa kiangazi vinachemshwa na vikilainika vinasongwa mithili ya ugali. Wanyamwezi wao huvipika kwanza vikishamaliza utomvu na kisha kuvikata kata slices na kisha kuvianika juani. Hivi huitwa Matoborwa na ndiyo asili ya jina Tabora.

Michembe na Matoborwa unaweza kuvila asubuhi na chai au mchana pamoja na maziwa ya mgando. Ni mojawapo ya vyakula safi kabisa na ni dozi tosha dhidi ya ukimbaumbau hasa vikiliwa pamoja na maziwa mgando. Mwezi hautaisha utaona Kakimbaumbau (hata kawe kamekongoroka namna gani) kameanza kuota shavu laiini na hata kuchomoza kimsambwanda [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahaha.
Vinalimwa au vinaokotwa msituni kama ilivyo kwa Kiazi kiitwacho Ming'oko kule Kusini au M'bao mikoa ya Pwani na Morogoro ?
 
IMG_20190426_141256_900.jpeg
 
Back
Top Bottom