Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni viazi vinachimbwa. Vinaanikwa juani mpaka ule utomvu utomvu uishe. Ukishaisha vinamenywa halafu vinakatwa katwa slices na kuanikwa tena juani. Vikishakauka vinahifadhiwa na wakati wa kiangazi vinachemshwa na vikilainika vinasongwa mithili ya ugali. Wanyamwezi wao huvipika kwanza vikishamaliza utomvu na kisha kuvikata kata slices na kisha kuvianika juani. Hivi huitwa Matoborwa na ndiyo asili ya jina Tabora.

Michembe na Matoborwa unaweza kuvila asubuhi na chai au mchana pamoja na maziwa ya mgando. Ni mojawapo ya vyakula safi kabisa na ni dozi tosha dhidi ya ukimbaumbau hasa vikiliwa pamoja na maziwa mgando. Mwezi hautaisha utaona Kakimbaumbau (hata kawe kamekongoroka namna gani) kameanza kuota shavu laiini na hata kuchomoza kimsambwanda cha kishikaji shikaji dizaini fulani hivi wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]

Ambae hatakuelewa hapa basi tena! [emoji23][emoji23]
 
PM eeeh!?
Sikumbuki Bro, umri umeenda hata hivyo .. mambo ni mengi
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
 
Twiga ni mnyama ukimuona LIVE unaweza umuote! Ana maringo, anatembea huwezi kuacha kutizama.

Sijui Steps zake anafanyaje? Nilivutiwa sana na huyu mnyama.
Akitembea anaburudisha.
Mguu wa mbele kulia ukitangulia unaenda sambamba na mguu nyuma kushoto hivyo hivyo na mguu wa mbele kushoto na wa nyuma kulia.
Akikimbia huwa tofauti, miguu ya mbele huenda pamoja na nyuma pia.
Lakini kubwa ni ile shingo yake ya maringo wakati wa akitembea.
Na namna anavyoweza kumvunja mbavu Simba kwa mateke yake
FB_IMG_1545634004073.jpeg
 
Akitembea anaburudisha.
Mguu wa mbele kulia ukitangulia unaenda sambamba na mguu nyuma kushoto hivyo hivyo na mguu wa mbele kushoto na wa nyuma kulia.
Akikimbia huwa tofauti, miguu ya mbele huenda pamoja na nyuma pia.
Lakini kubwa ni ile shingo yake ya maringo wakati wa akitembea.
Na namna anavyoweza kumvunja mbavu Simba kwa mateke yakeView attachment 1082118
Simba anaweza kumuuwa Twiga
 
Back
Top Bottom