Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

PM kwangu ulikuja lini mkuu
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
Atakuwa yule triplet wako basi.. My bad
 
Pundamilia na Twiga wanaelewana hakikutanq hakuna ugomvi mkuu
Kule porini wanyama karibu wote wanaokula nyasi kuna wakati hukutana wakacheza pamoja.
Ila pia kuna makundi ya wanyama mseto huitwa kundi la Magendaeka.
Yaani wale jamii moja waliotengwa na makundi yao.
Utakuta kuna nyati mmoja, Nyumbu watatu, swala sita, pundamilia watatu, digidigi wawili, palahala mmoja nk. Yaani huwa kundi la wanyama mseto.
Hawa huishi pamoja na Twiga mmoja aliye gendaeka.
Wanamfuata Twiga kwakuwa anawasaidia kuona maadui kwa mbali
 
Shukrani kwa maelezo
 
Back
Top Bottom