Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ahsante kwaa ufafanuzi Bro, napenda sana kumtizama Twiga. Alikuwa akipatikana Tz tuu, si ndio Chief??
Wanapatikana mbuga mbalimbali barani Afrika, ingawa inadhaniwa kuwa Tanzania ina hazina kubwa ya Twiga kuliko popote barani humu, kwakuwa ncini Tanzania Twiga hayupo kwenye orodha ya wanyama wanaowindwa kisheria.
 
Simba ana uwezo wa kuua wanyama wote wa porini, maana yeye amejaaliwa maarifa mengi kwa kuwa nyama ndiyo tegemeo la uhai wake, hata hivyo huwinda baadhi ya wanyama kwa timing.
Kuna wakati Simba hufa kutokana na mashuti ya Twiga, pembe za nyati, meno ya nguruwe pori nk
Ubarikiwe mpendwa umenishawishi nije kujionea
 
IMG_20190426_140932_705.jpeg
 
Back
Top Bottom