Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwani wewe uko nchi gani tena ?

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nazungusha Murutunguru hapa; karibu na mji unaitwa, Nansio! Nyie watoto wa Maikocheini/Masaki na Oyistabei sijui kama mnaufahamu huo mji! Chakula chetu kikuu ni ugali wa mhogo/udaga na samaki aina ya furu! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
The best fucking moment!

In the name of the warrior,

I charge you to be brave.

In the name of the father,

I charge you to be just.

In the name of the mother,

I charge you to defend the innocent.

Arise, Brienne of Tarth, A knight of the seven kingdoms.

D5BlmN4WAAcNRds.jpg

#GameOfThrones
 
Aah huko ndio unasomea ile pihechidiii yetu
 
Jf hawapo wa huko..
Humu wote tunasoma further studies Mamtoni...wakati biashara zetu zikiendelea Bongo
Tukitaka kunyandua tunapanda ndege kwenda kula bata kwenye hoteli zenye nyota tano huko Nyanda za Juu Kusini. Siku tukija kuonana laivu mpaka soli za viatu zilishasagika hata nauli ya daladala ni ya shida; na TECNO iliyochoka balaa...
 
The best fucking moment!

In the name of the warrior,

I charge you to be brave.

In the name of the father,

I charge you to be just.

In the name of the mother,

I charge you to defend the innocent.

Arise, Brienne of Tarth, A knight of the seven kingdoms.

View attachment 1082109

#GameOfThrones
Si ulisema huiangaliii hiii?
 
Back
Top Bottom