Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huddersfield– rafu 390, kadi 57

Kwenye kikosi cha Huddersfield, Jonathan Hogg ndiye anayeongoza kwa mchezo mchafu ndani ya uwanja na kuchangia kikosi hicho kucheza rafu 390 kwenye ligi na kuonyeshwa kadi 57, ambapo kadi nyekundu nne zimeonyeshwa kwenye kikosi hicho na nyingine zilizobaki ni kadi za njano. Huddersfield wameshuka daraja.
 
Everton – rafu 396, kadi 57

Kocha Marco Silva amekuwa na wakati mzuri kwenye kikosi chake cha Everton kwa siku za karibuni kwenye ligi, ambapo kwa ujumla wake timu yake imecheza rafu 396 na kuonyeshwa kadi 57, nne zikiwa nyekundu na zilizobaki ni za njano. Kiungo wake Idrissa Gueye ndiye anayeongoza kwa kupiga rafu uwanjani.
 
Fulham – rafu 392, kadi 66

Makocha watatu wamepambana na kushindwa kuokoa Fulham isishuke daraja kwenye ligi msimu huu. Kikosi hicho msimu huu kimecheza rafu 392 na kuonyeshwa kadi 66, ambapo mbili ni nyekundu na nyingine zilizobaki ni kadi za njano. Staa wao Aleksandar Mitrovic ndiye anayeongoza kwa mchezo mchafu.
 
Man United– rafu 395, kadi 68

Kwenye kikosi cha Manchester United, Luke Shaw ni mmoja wanaoongoza kwa kucheza na kuchangia timu hiyo kupiga rafu nyingi wapinzani wakifanya hivyo mara 395 na kuonyeshwa kadi 68, ambapo nyekundu ni nne na zilizobaki ni kadi za njano. Timu hiyo inayonolewa na Ole Gunnar Solskjaer wanapigwa tu kwa sasa.
 
Southampton– rafu 393, kadi 71

Pierre-Emile Hojbjerg ni kiungo wa kati aliyekuwa akihakikisha timu yake inapata mpira hata kama kwa mbinu chafu na ndio maana amechangia kiasi kikubwa kwenye rafu 393 ilizocheza Southampton na kuonyeshwa kadi 71, ambapo za njano ni 68 na nyekundu ni tatu. Kikosi hicho kinapambana kubaki Ligi Kuu.
 
Brighton – rafu 430, kadi 60

Glenn Murray ndiye aliyecheza soka chafu mara nyingi kwenye kikosi cha Brighton msimu huu ambapo timu hiyo imecheza rafu mara 430 na kuonyeshwa kadi 60, ambapo nyekundu ni nne na kadi nyingine zilizobaki ni za njano. Brighton inahitaji kushinda mechi zake zilizobaki ili kupambana kubaki kwenye ligi msimu ujao.
 
Watford – rafu 401, kadi 75

Watford imekuwa ikifanya vizuri kwenye ligi msimu huu, lakini yenyewe imekuwa na rekodi mbaya kwenye kucheza rafu, ikifanya hivyo mara 401 na kuonyeshwa kadi 75, huku Etienne Capoue akiongoza kwa kucheza rafu zake uwanjani zilizoifanya timu hiyo kupiga rafu nyingi.
 
My mom once cracked a joke i laughed into tears
😂
, she later told me the same joke again,i laughed a little,she kept on repeating the same joke,then i stopped laughing she said if you cant laugh at the same joke then why do you keep crying over a person who keeps hurting you?
💔
😢
 
My mom once cracked a joke i laughed into tears
😂
, she later told me the same joke again,i laughed a little,she kept on repeating the same joke,then i stopped laughing she said if you cant laugh at the same joke then why do you keep crying over a person who keeps hurting you?
💔
😢
Who has been hurting capitalpool jamani..
Huyu "Mai fyucha waifu" huyu ...
Bado hujapeleka ile mahari kwani?
 
Back
Top Bottom