Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

5. Mark Viduka vs Charlton, sekunde 11.90

Mark Viduka alikuwa straika mwenye ufundi mkubwa sana ambapo aliucheza mpira kwa madaha makubwa kiasi cha kumfanya awe kipenzi cha watu wengi waliokuwa wakimtazama akicheza na kufurahia soka lake. Viduka kipindi hicho akitamba kwenye Ligi Kuu England akiwa na kikosi cha Leeds United alikuwa akifunga mabao matamu kwelikweli.
Sana, si mchezo huyu jamaa
 
D5FiC5OWkAAgjLE.jpg
 
Nadhani waliochukua uamuzi kusajili kwa kutumia kitambulisho ambacho hakiwafikia watanzania walio wengi hawakuangalia athari zake.
Napongeza uamuzi wake
Nakubaliana na uamuzi huu mwema ila navomjua jamaa mpenda makusanyo sababu yake ilikuwa ni makusanyo though hoja ya makusanyo pia sio dhaifu lazima tukusanye kodi
 
Tunashukuru angalau jf imetuunganisha vilofa kama siye kuweza kaa kijiwe kimoja na matajiri aina yenu tukisemezana.
Fursa kama hizi hatuzipati mtaani[emoji41][emoji41][emoji16]
Kwa kweli uwe huna kitu mtaani na kwenye sosho midia pia uwe hauna..
Wote tupo juu humu! Tunagawa iPhones, MacBooks,
Tunakula buggers etc
 
Back
Top Bottom