Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tanzania tuko Milioni 55, vitambulisho vya Taifa vilivyotolewa ni Milioni 13 au 14, unaposema watu wasajili kwa kutumia Vitambulisho vya Taifa wakati NIDA haijatoa Vitambulisho vya Taifa maana yake unataka Watanzania wasitumie simu" Rais Magufuli
Magu kaogopa kuikosa kodi ya maduka ya simu na mitandao ya simu hiyo ndiyo hoja yake ya dhati
 
Back
Top Bottom