Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Image may contain: one or more people, people standing, tree and outdoor
 
Aiseee kwa hio angemuacha mange amchokoeeeee mpaka au?waende sawa tu age just a number. Naona mange analia na kuringishia harusi iliyobomoka kwa aibu kubwa
Hawezi kushindana na Mange yule mwanamke ana maneno machafu mno huoni anavyo mdhalilisha kule intragram ile ni haki kwa mama mwenye watoto ambao anategemea kupata Wajukuu.
 
Back
Top Bottom