Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hiii ni tabu ya watanzania kusema hawez mshinda yule kila siku atabaki kuwa mnyonge mpaka lini?raha ya ligi tukaneni mpaka mwisho heshima ipatikane. Cheki karingishiwa vitu kakurupuka kwenda kufukua picha zake za harusi. Mange hana tusi jipya la kumtukana zari. Mange mwenyewe ana binti mkubwa tu kuzidi watoto wa zari so wote wanategemea kupata wajukuuHawezi kushindana na Mange yule mwanamke ana maneno machafu mno huoni anavyo mdhalilisha kule intragram ile ni haki kwa mama mwenye watoto ambao anategemea kupata Wajukuu.