capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Kenneth hana hurumaView attachment 1082905
Kaka ake kumbe![emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1082912
Climate change wanasababisha wenyewe huko halafu kipigo na sisi tumo. Na wanasayansi wanasema huu ni mwanzo tu. Bado maukame, mioto na magonjwa sugu. Siyo fea kabisa.Haya majanga ya asili yameanza kututwanga na sisi? Na umasikini wetu huu tulionao ni kasheshe!
Katawaliza [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kuna faili moja la siri limenifikia hapa katika ofisi zetu za CHACHAWA linatilia shaka sana ugumu wako. Itabidi niitishe mkutano wa dharura kwa bodi nzima ili tukuondoe kwenye uenyekiti wa hiki chama chetu kitukufu [emoji16][emoji16][emoji16]Weekend hii nadhani imeniijia vibaya, nagawanwa kama mpira wa kona! [emoji24][emoji24]
Asee ni tatizo broHaya majanga ya asili yameanza kututwanga na sisi? Na umasikini wetu huu tulionao ni kasheshe!
Kwani si hata waliofainenshali stebo wanazitafuta?Hata mimi nimeambiwa ni fainenshali stebo ingawa nayasaka mapene
Heka heka za wanawake wakati mungine nahisi wanaulemavu.
[emoji16][emoji6][emoji6][emoji16][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Katawaliza [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
🤣🤣🤣AmeshindwaLile jaribu la Jana umelishinda jirani?[emoji23][emoji23]