Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20190427_155158_390.jpeg
 
Vimtu vya hivi utakuta mabinti wanakachekea chekea wanafikiri hakana madhara wakija kushtuka kameshawanyandua aisee. Hatari sana vimtu vya aina hii. Hata kama ni kirafiki chako ukija kushtuka unakuta already kimeshakuchapia demu wako. Vere denjarazi wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Waswahili husema "Simba mwenda pole ndiye mla nyama"
Nadhani walengwa wakisikia kuna Mgumu aliyetukuka watajipeleka kutest ugumu, kifutacho........[emoji16][emoji16][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Back
Top Bottom