Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nakujaaaa..
Wakati wa kuondoka you will be looking ezi faini ezi hell [emoji16][emoji16][emoji16][emoji116][emoji116][emoji116]
149493PCN_Sanaa01.jpeg
 
Poti ni shiiiiidaaa
Vimtu vya hivi utakuta mabinti wanakachekea chekea wanafikiri hakana madhara wakija kushtuka kameshawanyandua aisee. Hatari sana vimtu vya aina hii. Hata kama ni kirafiki chako ukija kushtuka unakuta already kimeshakuchapia demu wako. Vere denjarazi wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
You made my day, Bro! Nimecheka mpaka wavuvi wenzangu wananishangaa ndani ya huu mtumbwi! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
That was the purpose bro...let's laugh and enjoy life...

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Najua nimepiga mule mule. Yu a vere denjarazi wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Vimtu vya hivi utakuta mabinti wanakachekea chekea wanafikiri hakana madhara wakija kushtuka kameshawanyandua aisee. Hatari sana vimtu vya aina hii. Hata kama ni kirafiki chako ukija kushtuka unakuta already kimeshakuchapia demu wako. Vere denjarazi wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Aiseee poti poti njooo ujibu tuhuma
 
Ushahidi na ukaribu.
Huwa tunaamini sana maelezo na hadithi ambazo zimeelezewa kwa namna ambayo zinaibua hisia zetu. Kadiri maelezo yanavyokuwa ya kihisia na yanavyoelezwa mara nyingi, ndivyo tunavyoyaamini kama ukweli. Vyombo vya habari vimechochea sana hili, kwa kuweka kipaumbele kwenye habari hasi kuliko chanya.
 
Back
Top Bottom