Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Imekuwa Jumapili ya aina yake aisee...Jumapili tulivu kabisa [emoji16][emoji16]
Alipewa kadi kishkaji na Mwenyekiti Andaetini,Eti nae mgumu na card ya uanachama anayo
Mungu awafanyieni wepesi mkuuBado mkuu hila changamoto kwa mama yao imekuwa kubwa sana naomba Mungu tu ajifungue salama
Yes yes boss
Yes yes boss
Nataka hata niwe Mzaramo tu kwa kweli liwalo na liwe [emoji16][emoji16][emoji16]Hakuna hiyo kamanda, unaruhusiwa kuhama chama cha siasa na dini, lakini kabila lako litabaki hilo hilo[emoji849][emoji57][emoji57]
Kiungo wa kati Manchester United Paul Pogba,26, ameidokezea klabu hiyo mpango wake wa kujiunga na Real Madrid msimu ujao.
Kiungo wa kati Manchester United Paul Pogba,26, ameidokezea klabu hiyo mpango wake wa kujiunga na Real Madrid msimu ujao.
CHAPUTA ndio chama mamaDuh !!!
Ina maana memba wengi wa CHACHAWA pia wako CHAPUTA? Hii kali aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Mwenyekiti njoo ujibu tuhuma hizi za hovyo !!!
Kiungo wa kati Manchester United Paul Pogba,26, ameidokezea klabu hiyo mpango wake wa kujiunga na Real Madrid msimu ujao.
Nilishasema. Ugumu wangu Igneous rocks cha mtoto. Nastahili uenyekiti kabisa !!!Alipewa kadi kishkaji na Mwenyekiti Andaetini,
Kiungo wa kati Manchester United Paul Pogba,26, ameidokezea klabu hiyo mpango wake wa kujiunga na Real Madrid msimu ujao.
Kazi ipo [emoji16][emoji16][emoji16]CHAPUTA ndio chama mama