Vuzi lina faida zake ngoja nije nilete topic yake hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]raha ya mahaba unyolewe vuzi na baby. Vuzi sio uchafu. Halafu huwa mnamuita malay mdangaji sasa jaman atapata muda wapi wa kunyoa.Anyway vyovyote tu mie napenda lifestyle yake,vuzi na papa yake imemletea vyote hivyo alivyonayo.
Wanaomchezea wanamuachia nyumba,college,migari ya maana,minguo ya ukweli,watoto handsome. Power of vuziiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
SWALI JE???????????BILA PAPA WANAWAKE WANGEKUA NA MAENDELEO WALIYONAYO LEO? WANA CHAWAMITA NAOMBA JIBU.