Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_4614.JPG

Liverpool mtapata tabu sana season hii! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji123][emoji123]
 
Hebu kwanza nikuulize hio video mara ya kwanza kuiona lini?je mwaka 2000 zari alikua mzee?juzi kati hapa ilivuja video ya nandy akishikwa tako uliiona?kama haukuiona ipite miaka saba uje uione uanze mlaumu nandy mzee anataka kuwa mtoto aiseee

Nimeweka utimu pembeni. Maji yakimwagika hayazoleki,video alivujishiwa ulitaka ajinyonge muda ule ule au ajiondoe mitandao yote ya kijamii. Je Zari ni mzee pekee mtumia mitandao ya kijamii afrika nzima?
Sawa nimekuelewa ila boss wenu mchafu vuzi kama lote kwenye video. Kumbe ndio maana vijana wanamchezea na kusepa.
 
Back
Top Bottom