Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kipigo hicho cha Spurs kimezidi kufungua milango kwa timu nyingine kwa maana ya kufanya vita hiyo kuendelea kuwa hai pengine hadi kwenye mechi za mwisho za mwisho wa msimu. Spurs sasa imebakiza mechi mbili tu, wakati wapinzani wake, Chelsea, Arsenal na Man United wamebakiza mechi tatu kila mmoja.