mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Bongo movieMrembo akitoka shamba.
Siyo warembo wetu, kutwa kucha wako kwenye kioo ili wapendeze wakauze sura Fb View attachment 1083149
Bongo movieMrembo akitoka shamba.
Siyo warembo wetu, kutwa kucha wako kwenye kioo ili wapendeze wakauze sura Fb View attachment 1083149
Atawaelewa tuKwahiyo ukionyeshwa mtutu wa bunduki ukae kimya tu ?View attachment 1083154
Usinikumbushe enzi za mashindano ya nyomi na mafuriko 2015. Mwaka kesho tena...Mbeya ilizizima..View attachment 1083163
Mzee wa kikiMbeya ilizizima..View attachment 1083163
Kuwa na huruma bro [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1083173
Picha hizi ni kwa udhamini wa Numbisa
Yule Mpira amezaliwa nao wala haitaji mazoezi ya kufa mtuNamkubali sana Messi, hana mdomo, hana mbwembwe, hana makuu.
Kinachosema ni miguu yake tu
Pawa Mabula au Pawa Ng'wanakulya?
Hivi ndivyo vitabu vya kusoma sasa...Simba wa VitaView attachment 1083185
Kukosa title season itakuwa mbaya sana 95+ points halafu hakuna ubingwa so painWaleteni wengine tuwape Sunnah[emoji23][emoji23]View attachment 1083166
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
HahahahaView attachment 1083173
Picha hizi ni kwa udhamini wa Numbisa
Tunakuja catalunya meimosi
Hahahaha mdogo mdogoReply at noon
But good mzee wa watu wa khamsa
15:0013:00
Zipo kama kawaidaLikes za weekend
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahaa Numbisa nimecheka mpka watu wananishitukia hapa
Hahahaha mkuu niaje mambo vipihuyu mwanamme yupo romantic kuliko mzee wa liver
Mkuu napambana nayo nipo ep 100IYO DRAMA HUWA NAIANGALIA BAADAE NAACHANA NAYO KWA MUDA.
NIMEISHIA EPISODE 165.
Man u futuhi next seasonKatika Ligi Kuu England pengine vita ya kufukuzia ubingwa inayowakabili Manchester City na Liverpool ni nyepesi kuliko ya kuwamo kwenye Top Four, maana ni shiida!
Ni lugha gongana ama?[emoji16][emoji16]
Nikweli nilikiri lakini mimi sio mgumu kama wewe unavyojinadi kwa ugumu bandia