Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lipumba mbona cha mtoto? Labda Mrema...

Hao wahenga nao hamna kitu...andagraundi denja tu. Afadhali hata jirani mkimya na mafumbo fumbo yake itasaidia. Azawaisi kila siku itakuwa Ze wani ende onole wani na kuwekewa mafumbo mafumbo kupitia mbuga za wanyama au mieleka[emoji16][emoji14][emoji16].

Anayestahili cheo hicho ni mimi hands down [emoji122][emoji122][emoji122][emoji123][emoji123][emoji123]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hufai bora mie nafaa kabisa. Nikamata usikani anayeleta za kuleta tunaingia vitani
 
Back
Top Bottom