D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
unadaiwa ep 100Mkuu napambana nayo nipo ep 100
unadaiwa ep 100Mkuu napambana nayo nipo ep 100
Mngenifungi city mngekuwa wa maana sanaKumaliza msimu ndani ya Top Four kwenye Ligi Kuu England kunatoa fursa ya timu kucheza kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao, huku Arsenal na Chelsea zikiwa na nafasi ya kufuzu michuano hiyo kama zitabeba ubingwa wa Europa League, huku Spurs wao nafasi yao ya kucheza Ulaya inaweza kumatikana pia kama watanyakua ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu.
HahahahaJizazi. Mbona tena unaniharibia? Nakifukuzia cheo cha Uenyekiti wa CHACHAWA kwa nguvu zote. Mwenyekiti anajifanya wa kudumu utafikiri Mbowe au Momose. He must go !!![emoji16][emoji16][emoji16]
Kuanzisha chama siyo tiketi ya kutumia madaraka vibaya. Akina Zuckerberg wameanzisha makampuni yao mabwenini na leo wanataka kufurushwa sembuse Poti?Poti anafaa sana na chama chake alichokianzisha mwenyewe
#chairmanforeverkamautawalawakoreakask
Mkuu hiyo skendo ya nyota kusini ikoje embu fafanuaItabidi tukigawane chama. CHACHAWA Poti na CHACHAWA SYB. Wanachama wataamua wanakotaka kujoini ...
Hao akina mark hawatuhusu. Toa mfano wa watu kama melo utaelewekaKuanzisha chama siyo tiketi ya kutumia madaraka vibaya. Akina Zuckerberg wameanzisha makampuni yao mabwenini na leo wanataka kufurushwa sembuse Poti?
#PotiMastiGo !!!
Binti hujambo
Wewe utakuwa dikteta kuliko hata Poti. Tunapigania demokrasia na uhuru hata wa kulainika kidogo ikibidi. Siyo mwenyekiti kila siku anapuyanga na lori la maua na kontena la red wine, maviatu yale na magauni halafu mkimsema oooh mimi mgumu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hufai bora mie nafaa kabisa. Nikamata usikani anayeleta za kuleta tunaingia vitani
Kila nikifikiria kifo nakosa majibu angelienda mmoja na kurudi kuja kutujuza kunani huko ingekuwa bomba sanaSafari ya kasi kuelekea kaburini...na kusikojulikana !!!
Njema kamanda. Huko vipi? Liver wamemliza mtu leo nini?Hahahaha
Mkuu habari za jumapili
The one and only nimemiss sana ,Liverpool tunategemea furaha leo, mapacha mkuu tunategemea miezi miwili ijayo nakaunti siku tu mkuuUmeonekana leo. Liverpool wamemliza mtu ama? Au umekuja kumtafuta the one and the only one? Anyaway njema kamanda. Mapacha wetu tayari au bado?
Nasingiziwa tu. Haters wangu wananiandama sana. Ipotezee tu [emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu hiyo skendo ya nyota kusini ikoje embu fafanua
Ana makubwa sana siku nitaleta story yakeNi binti huyu?
Ana makubwa sana siku nitaleta story yakeNi binti huyu?
Hakina huruma kinakufuata popote paleKifo kinapobisha hodi...
RIP
Hahahaha hii kitu hii kitu hiiNani awe na haraka msambwax kama wote?
HahahahaThis is where I draw the line hata niwe na ukame wa aina gani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Sijui uongozi wa melo ukoje. Kama ana board of directors au ni wani mani sho..Hao akina mark hawatuhusu. Toa mfano wa watu kama melo utaeleweka
#potihajaribiwiii
Vp pande zako bro? Mimi nipo sawaNi lugha gongana ama?
Kwema lakini bro?