mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hatari sitakaa kuwaamini wanasiasa hasa wa AfrikaKuna jamaa anahusika moja kwa moja na kashfa hii. Ameshusha bonge la hekalu huko Kaskazini nyumba za Beverly Hills zinasubiri. Majiziiiii katika jamii inayoabudu majiziii !!!