Hahahahah bwana J kaharibu kila kona.Duh !!!
Jiwe katuharibia sana dadeki. Tunachukiwa na kila mtu. Ningekuwa najua kabila lako ningehamia huko wallahi. Naona nitakwenda kwa Bradha. Acha tu niwe Mpare. Au Mnyiramba kwa Ninge [emoji16][emoji16][emoji16]
Akina nani hao?Poti mgumu balaa sio wale wanaotumwagia misabwax ukiwakospa wanalalamika siku nzima tunawaonea hahaha
Jamaa anahadaa halaiki[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2089][emoji2089][emoji16][emoji16]
Nikweli nilikiri lakini mimi sio mgumu kama wewe unavyojinadi kwa ugumu bandia
Shida mkuu inakuja nabii gani wa ukweli wa kumsikiliza wengi ndio wanakwenda GhanaKuna fununu ya kinachotusubiri huko [emoji116][emoji116]
View attachment 1083289
View attachment 1083291
Wewe hapo na ile miscania ni shidaAkina nani hao?
Unamuongelea VE wa watu ama?
Misambwax kwangu siyo dili kihivyo [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1083299
Sasa mnakosa top fourHahahaha tulikataa kuwa daraja
Bado mambo ni motooo tunaweza pata chanceSasa mnakosa top four
Usiamini utakachoambiwa. Ai trasti yu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Jamani alifanya nini huko nimepitwa na mengi kumbe
Yeye ni ISIS mimi OSIRIS ngoma draw mkuu yule soul mate Wangu amino nakuambiaEti utakosa unyumba [emoji16][emoji16][emoji16]
Utaishia kucheza na majoka tu kwa bed...
Taratibu binti mpole😀😀
Hahahaha unataka kuanzisha ligi eheePoti mgumu balaa sio wale wanaotumwagia misabwax ukiwakospa wanalalamika siku nzima tunawaonea hahaha
Labda Pogba asicheze [emoji16][emoji16][emoji16]Bado mambo ni motooo tunaweza pata chance