Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Numbisa tuweke utimu pembeni kuna vitu Zari ana kosea ile video ana toa ulimi yuko Sawa kweli kichwani mzee kama yule anataka awe mtoto.
Hebu kwanza nikuulize hio video mara ya kwanza kuiona lini?je mwaka 2000 zari alikua mzee?juzi kati hapa ilivuja video ya nandy akishikwa tako uliiona?kama haukuiona ipite miaka saba uje uione uanze mlaumu nandy mzee anataka kuwa mtoto aiseee

Nimeweka utimu pembeni. Maji yakimwagika hayazoleki,video alivujishiwa ulitaka ajinyonge muda ule ule au ajiondoe mitandao yote ya kijamii. Je Zari ni mzee pekee mtumia mitandao ya kijamii afrika nzima?
 
wiche_platnumz___BuQ6lDWlsgv___.jpg
 
Back
Top Bottom