Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji849][emoji849][emoji849]
FB_IMG_1556448257510.jpeg
 
Vita ya ubingwa inazihusu timu mbili tu, Liverpool na Man City, lakini ile ya Top Four inahusu vigogo wanne wanaoshindania nafasi mbili, ambao ni Tottenham Hotspur, Chelsea, Arsenal na Manchester United.
Mpaka kufikia leo tamaa ya ubingwa imeniisha, maana naona Man City wanatafuta sifa[emoji57][emoji57]
 
Kipigo hicho cha Spurs kimezidi kufungua milango kwa timu nyingine kwa maana ya kufanya vita hiyo kuendelea kuwa hai pengine hadi kwenye mechi za mwisho za mwisho wa msimu. Spurs sasa imebakiza mechi mbili tu, wakati wapinzani wake, Chelsea, Arsenal na Man United wamebakiza mechi tatu kila mmoja.
Hata hivyo mpaka kufikia jioni hii yaonyesha Arsenal ni kama wanajitoa taratibu kwenye kinyang'anyiro hicho
 
Back
Top Bottom