Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Itisha mkutano wa bodi tukutoe...
#PotiMastiGo [emoji818][emoji818][emoji818]
Mwenyekiti haondolewi kimchezo mchezo. Yuko ngagari, Mbowe cha mtoto! [emoji1][emoji1]
Itisha mkutano wa bodi tukutoe...
#PotiMastiGo [emoji818][emoji818][emoji818]
Itisha mkutano wa bodi tukutoe...
#PotiMastiGo [emoji818][emoji818][emoji818]
Muone!
Nina mpango wa kukunyandua halafu unanipa shikamoo na ubro juu? Shikamoo mwenyewe indeed wallahi !!! [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Una maoni gani bro. Nakumbuka hata wewe zengwe alilokuwekea kurudi kwenye hiki chama. Lazima tumtoe bro. Hatutaki udikteta kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona nafasi ipo Vacanti.. Maombi niyalete mwenyewe au niyatume posta?
Japo hujasema ile kauli yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weka namba ya sandukuKutokana na kanuni na miiko ya UGUMU, inabidi uyatume kwa Posta! [emoji1][emoji1]
Basi TUMSHUKURU Mungu bageshi (dada)...Safi ndio inaishia hivyo fasta
Mbona leo unagawa shikamoo hovyo hovyo? Kuna nini? Mpaka Poti andaeitini huyu aliyeukwaa uenyekiti wa CHACHAWA kwa bahati tu kweli unampa shikamoo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yego Shikamoo
Mbona leo unagawa shikamoo hovyo hovyo? Kuna nini? Mpaka Poti andaeitini huyu aliyeukwaa uenyekiti wa CHACHAWA kwa bahati tu kweli unampa shikamoo?
Kwenda tulishakukataza. Umesahau mara hii. Mwenyekiti haeleweki....Naona nafasi ipo Vacanti.. Maombi niyalete mwenyewe au niyatume posta?
🙏🙏🙏Basi TUMSHUKURU Mungu bageshi (dada)...
Kwetu Wenyeviti huwa wanaamkiwaMbona leo unagawa shikamoo hovyo hovyo? Kuna nini? Mpaka Poti andaeitini huyu aliyeukwaa uenyekiti wa CHACHAWA kwa bahati tu kweli unampa shikamoo?
Kwetu Wenyeviti huwa wanaamkiwa
Sijaamkia wote..Kuna mmoja nasubiri shikamoo yangu bado..Mbona leo unagawa shikamoo hovyo hovyo? Kuna nini? Mpaka Poti andaeitini huyu aliyeukwaa uenyekiti wa CHACHAWA kwa bahati tu kweli unampa shikamoo?
Weka namba ya sanduku
Shikamoo dada Fragaria? [emoji2221][emoji2221][emoji2221]Sijaamkia wote..Kuna mmoja nasubiri shikamoo yangu bado..
CHACHAWA
PO BOX 010101
Nansio-Ukerewe.
Tanzania.
Fax # 1-800-YES-YEGO
🤣🤣🤣 Sawa Mheshimiwa sana..CHACHAWA
PO BOX 010101
Nansio-Ukerewe.
Tanzania.
Fax # 1-800-YES-YEGO