Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kitu kinachoweka uwezekano mkubwa wa Felix kunaswa na timu nyingine ni kutokana na kipengele kilichowekwa kwenye mkataba wake kwamba timu itakayolipa Euro 120 milioni basi inabeba tu.
 
Wakati hilo likiendelea, Tuttosport, imefichua kwamba Juve imeamua kuja na mpango mbadala wa kuwashawishi Benfica kwamba wawape Euro 70 milioni pamoja na beki wa kushoto, Rogerio, anayecheza kwa mkopo Sassuolo, sambamba na Wabrazili mwenzake, Matheus Pereira na Lucas Rosa pamoja na Joao Serrao ili tu wao wamsajili Felix.
 
Jumatatu ijayo imeelezwa kwamba klabu hizo zitakutana kujadili jambo hilo, Juve wao wamedai kwamba wataongeza Euro 10 milioni kwenye ile ofa yao ya Euro 70 milioni pamoja na wachezaji wanne ili tu kufanikisha mpango wao wa kumpata fundi wa mpira Felix anayesemwa kwamba ni Cristiano Ronaldo mpya.
 
Hata hivyo, ripoti zimedai kwamba Pogba mwenyewe amedaiwa kuwaambia wachezaji wenzake kwamba haoni kama Man United itapata maendeleo yoyote hasa chini ya kocha huyo na hilo ndilo linalochochea uwezekano wa staa huyo kuhama timu hiyo.
 
Ukweli ni lazima usemwe Arsenal ni timu yangu kuna wakati tulikuwa INVISIBLE lakini kwa kipindi cha miaka 10 na ushee Gunners wamekuwa ni uchochoro wa karibu kila timu. Arsenal ni midebwedo. Sad but very true. The team needs new direction new coach and at least 5 or 6 very good players. Wahenga hawakukosea waliposema BURE GHALI.

Hata hivyo mpaka kufikia jioni hii yaonyesha Arsenal ni kama wanajitoa taratibu kwenye kinyang'anyiro hicho
 
Back
Top Bottom